KUMBUKIZI YA KIFO CHA GADDAFI.
Ilikua huko
katika mji wa Sirte alizaliwa mwana wa kiume kama Muammar Mohammed Abu
Minyar al-Gaddafi na baadae alifahamika kama Colonel Muammar Gaddafi kiongozi wa
Libya kati ya September 1, 1969-October 20, 2011. Alikua ni Mlibya
mmoja mwenye asili ya kitaliano aliyezaliwa na kukuzwa katika mazingira
ya kimaskini katika nchi maskini ya Libya.