KANDE ZA MPAISHA MTU HUKO KENYA.
Martin Kamotho (Githeriman) kabla na baada ua kupata msaada. Picha kwa hisani ya Google. Maisha hayana maana moja na kila mtu atatoa maana ya maisha kwa vile ambavyo yeye anachukulia ni nini maisha yana maanisha kwake. Na kila siku hua tunasikia watu wakisema "Hakuna kukata tamaa" ni kweli lakini mwingine anajiuliza kwanini nisikate tamaa?? Kila mtu ana jibu lake sasa leo tumepata somo jingine zuri sana kutoka Kenya.