TRUMP VS PUTIN NANI MBABE WA MWENZAKE?
TRUMP VS PUTIN NANI MBABE WA MWENZAKE? Rais wa Marekani Donald Trump akiongea jambo na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin baada ya mkutano wao huko Alaska 15 Agosti 2025/ picha kwa hisani ya Ikulu ya Marekani Rais wa Marekani Donald T rump na Rais wa Urusi Vladimir Putin ni miongoni mwa majina makubwa katika medani ya siasa za kimataifa kutokana na hulka yao na namna wanavyochukua maamuzi magumu katika nyakati ngumu. Na hivyo kufanya dunia kua na viongozi shupavu kama wanne hivi kwa maana ya nyongeza ya Xi Jin Ping wa China pamoja na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini. Ila kwa sasa ni Trump dhidi ya Putin wakikaa wawili nani mbabe wa mwenzake?