KIM JONG UN NA XI JINPING KULIKONI?
BEIJING, CHINA. Katibu mkuu wa chama cha kicomusti nchini china (communist party of china-CPC) na rais wa nchi hio Xi jin Ping wanatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini Korea ya Kaskazini kati ya Juni 20-21 mwaka huu ikiwa ni mwaliko wa kiongozi wa korea kaskazini Kim Jong Un. taarifa hii ni kwa mujibu wa idara y habari ya chama cha CPC iliyotolewa jana jumatatu.