SHETANI ALIANZA LINI KUA SHETANI?
SHETANI ALIANZA LINI KUA SHETANI? Hakika sifuri(0) sio sawa na o. Sifuri ni tarakimu lakini o ni herufi. Sifuri na o zinataka kufanana lakini hakuna hata siku moja sifuri iwe o na o iwe sifuri. Huo uwezekano haupo. O itabaki kua O na 0 itabaki kua 0. Wakati fulani tumekua na mazoea ya kutaka kulazimisha vitu vinavyofanana viwe sawasawa. Kufanana hakuna maana ni sawa sawa.