Posts

RIO FERDINAND AITOLEA MATE KAZI YA UKOCHA KUINOA ENGLAND.

Rio Ferdinand anaitamani kazi ya kukukinoa kikosi cha timu ya taifa ya England maarufu kama "Simba watatu".

MISTARI YA KENDRICK LAMAR KWENYE MTIHANI WA CHUO.

Sasa hivi mistari ya wanamuziki imeanza kutumika kwenye mtihani. Wanafunzi wa chuo kikuu cha Strathmore walishikwa na butwaa baada ya kuingia kwenye chumba cha mtihani na kukutana swali ambalo lilikua na mistari kutoka kwenye wimbo wa Kendrick Lamar

SERIKALI YAKANUSHA KUA INATAKA KUFUTA POSHO ZA MADAKTARI.

Serikali yakanusha kukata posho za madaktari. Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na Uvumi katika Mitandao ya Kijamii kuwa Serikali imeamua kushusha Mishahara ya Madaktari kwa asilimia 30% ili kuendana na dhana ya Hapa kazi tu na kuwa Serikali imekusudia kufuta malipo ya Posho za Wataalamu wa Afya walio katika Mafunzo kwa Vitendo ufafanuzi kwa Umma wa Watanzania na Watumishi wa Sekta ya Afya kuwa taarifa hizo siyo za kweli.

MAPINDUZI YA KIJESHI NCHI UTURUKI

Kundi moja la kijeshi nchini Uturuki linasema limechukua udhibiti wa nchi, huku madaraja jijini Istanbul yakifungwa na ndege za kijeshi zikionekana kupaa katika anga ya Ankara.

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2016 YATANGAZWA

Kuangalia matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka huu 2016 ingia kwenye hii link hapa………>>> http://www.necta.go.tz/results2016/ACSEE2016/index.htm

CHADEMA KUTOKUZUIA MKUTANO WA CCM

Sumbawanga. Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Rukwa limetangaza kuwa hawatakwenda kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika Julai 23 mjini Dodoma.

JUVENTUS WAMNASA GONZALO HIGUAIN

Juventus wafikia makubaliano na mpachika mabao wa Napoli, Higuain. Mabingwa wa Italia wamefanya makubaliano ya mkataba wa miaka minne na kiungo wa Napoli Gonzalo Higuain wenye thamani ya Euro milioni saba(€7milion) kwa msimu kwa mujibu wa mtandao wa goal.com.