Sasa hivi mistari ya wanamuziki imeanza kutumika kwenye mtihani. Wanafunzi wa chuo kikuu cha Strathmore walishikwa na butwaa baada ya kuingia kwenye chumba cha mtihani na kukutana swali ambalo lilikua na mistari kutoka kwenye wimbo wa Kendrick Lamar
"Vanity Slave". Swali hilo lilisomeka hivi, "In the words of Kendrick Lamar (popular rapper of the good kid, m.a.a.d city fame), 'If you get your first big check, and you cop a chain before you buy a house. You're a vanity slave.' In this song, 'Vanity Slave', Mr Lamar speaks openly about mindless consumerism. Explain three dangers of consumerism.
Mr Caleb Kandagor, ambaye ni mhadhiri mwandamizi wa falsafa na maadili chuoni hapo ndiye aliyelitunga swali hilo kwa wanafunzi wake.
No comments:
Post a Comment