Managua. Rais wa Nicaragua, Daniel Ortega amemtaja mkewe kama mgombea mwenza na makamu wa rais wakati huu ambapo anawania kuchaguliwa kwa muhula mwingine.
UTAWALA WA SHERIA vs WATAWALA WA SHERIA. Hiki kichwa cha habari niliona kikiwa kwenye lugha ya kingereza. Ni kitabu kilichoandikwa na Prof. Issah Shivji akielezea maisha ya Jaji mkuu mstaafu Barnabas Albert Sammata. Nilipenda kukisoma kitabu hiki lakini sikufanikiwa. Ila nilifanikiwa kupata dhima ya juu ya kitabu. Lakini nilipenda maneno machache tu ya jaji samata ambayo nami ntayatumia hapa. Aliwahi kusema "Let everyone in our society give justice a chance to prevail".(Hebu tufanye kila mmoja wetu katika jamii aipe haki nafasi ya kukua"[tafsri sio rasmi]). Katika taifa lolote lile litakalokua linajiita ni taifa la kidemokrasia basi halina budi kuruhusu ustawi wa haki. Na haki itakuepo pale tu ambapo watu waliopewa dhamana ya kuisimamia wanakua na maadili. Amini usiamini ila kuna kazi hazihitaji saana maadili kama zingine. Uongozi ni kazi ambayo huwezi kuifanya kama huna maadili. Wanasaikolojia wanaamini ili kuweza kumjua mtu alivyo ni lazma tumjue kupitia tabia. ...
Jaribio muhimu kujua kama kweli atakua mume mwema kwako. Ndoa ni safari ndefu na ni muhimu kwa watu kuchagua wenza wao wa maisha ili waweze kuishi nao. Kuna maswali muhimu unapaswa kujiuliza kuhusu huyo mme wako wa baadae ili kujua mahusiano yenu yanaweza kwenda mbali kiasi gani. Kuna viashiria vinaweza kukuonesha ni kipi unaweza kukipata baada ya wewe kumkubali huyo uanaemfikiria kua awe mmeo.
Utafiti mpya umeonesha kwamba wanaume wa Uholanzi ndio warefu zaidi duniani, na upande wa wanawake, wanawake wa Latvia ndio warefu zaidi. Kimo cha wastani kwa wanaume Uholanzi ni futi 6 kwa sasa (sentimeta 183), na kimo cha wastani kwa wanawake wa Latvia ni futi 5 inchi 7 (sentimeta 170).
Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekamatwa akiwa nyumbani kwake mjini Kinshasa. Mwandishi wa BBC Poly Muzalia anasema mwanamuziki huyo amekamatwa kwa agizo la afisi ya mwendesha mashtaka.