Friday, 19 August 2016

POGBA KUKIPIGA DHIDI YA SOUTHAMPTON

Mourinho: Pogba atacheza dhidi ya Southampton.



Kocha wa Manchester United José Mourinho amethibitisha kua mchezaji ghari zaidi kwa sasa Paul Pogba ataweza kucheza "dakika kadhaa" dhidi ya Southampton usiku huu. Mourinho aliyasema hayo alipokua akiongea na kituo cha televisheni cha MUTV kufuatia mchezo wao wa kwanza wa msimu huu katika uwanja wa Old Trafford.

Pogba alisajiliwa kwa uhamisho uliovunja rekodi ya dunia kutoka Juventus kwa kiasi cha karibu £117milion.

No comments:

Post a Comment