Thursday, 24 August 2017

DROO YA MAKUNDI YA UEFA 2017/2018

Droo ya kupanga makundi ya UEFA kwa msimu wa 2017/2018 imefanyika leo huko Monaco,  Ufaransa. 

Shirikisho la soka barani ulaya leo tarehe 24, August 2016 limetoa tuzo kwa wachezaji nyota waliong'ara kwenye michuano ya klabu bingwa ulaya(UEFA Champions League) kwa msimu wa 2016/2017 pamoja na kutoa orodha ya makundi ya michuano hio mikubwa barani ulaya kwa msimu wa 2017/2018.
Nani kucheza na nani Ulaya? Droo ya Klabu Bingwa Ulaya 2017-18
Droo hii ilikua na timu 32 yametoka makundi manane. 

Uingereza inawakilishwa na timu sita msimu huu. Chelsea, Tottenham, Manchester City, Liverpool, Manchester United na Celtic. Timu hizo zitafahamu zitakutana na nani katika droo itakayofanyika Monaco leo saa moja usiku saa za Afrika Mashariki. 

Wachezaji waliotwaa tuzo leo August 24, 2017.

Kipa bora wa Uefa msimu 2016/2017 Gianluigi BUFFON (JUVENTUS) 

Beki bora wa uefa msimu 2016/2017 Sergio RAMOS (REAL MADRID) 

kiungo bora wa Uefa 2016/2017 Luka MODRIC (REAL MADRID) 

mshambuliaji bora wa Uefa 2016/2017 Christiano RONALDO (REAL MADRID) 

Droo kamili ya makundi kwa msimu 2016/2017.

No comments:

Post a Comment