Posts

KUMBUKIZI YA KIFO CHA GADDAFI .  Ilikua huko katika mji wa Sirte alizaliwa mwana wa kiume kama Muammar Mohammed Abu Minyar al-Gaddafi na baadae alifahamika kama Colonel Muammar Gaddafi kiongozi wa Libya kati ya September 1, 1969-October 20, 2011. Alikua ni Mlibya mmoja mwenye asili ya kitaliano aliyezaliwa na kukuzwa katika mazingira ya kimaskini katika nchi maskini ya Libya.

KIM JONG UN NA XI JINPING KULIKONI?

BEIJING, CHINA. Katibu mkuu wa chama cha kicomusti nchini china (communist party of china-CPC) na rais wa nchi hio Xi jin Ping wanatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini Korea ya Kaskazini kati ya Juni 20-21 mwaka huu ikiwa ni mwaliko wa kiongozi wa korea kaskazini Kim Jong Un. taarifa hii ni kwa mujibu wa idara y habari ya chama cha CPC iliyotolewa jana jumatatu. 

JE, MATAIFA YA ULAYA YANA MPANGO WA KUITOSA MAREKANI?

Suala la ulinzi na usalama ni moja ya mambo makubwa na muhimu ambayo kwa kipindi kirefu yamekua yakisumbua vichwa vya watunga sera na viongozi wakuu wa mataifa mbalimbali makubwa duniani. kufuatia vitisho vya vya uliokua muungano wa Soviet ulipelekea kuundwa kwa Umoja wa kujihami wa NATO mwaka 1949 na baadae muungano wa Soviet uliunda umoja wake wa Warsaw Pact mwaka 1955.

ZINGATIA HAYA KABLA YA KUNUNUA SMARTPHONE YAKO.

Image
DONDOO MUHIMU KABLA YA KUNUNUA SIMU MPYA. Kwa sasa kuna makampuni mengi yanayozalisha simu na simu hizo kila ile ni bora kwenye nyanja flani na wakati mmoja zinaweza kua bora nyanja zote. Ili kuepuka kununua simu mara kwa mara na kulinda kipato chako unaweza kufanya yafuatayo. 1. Angalia mfumo endeshi wa simu (Operating system)  unaweza kuchagua Android au IoS kulingana na mahitaji yako mwenyewe au matakwa ninafsi.  Kila mfumo endeshi una faida na hasara zake kwa hio ni vema kuchunguza kwanza kabla hujaingia dukani. 2. Angalia features muhimu za simu husika. Usiende tu kununua simu ila uwe na vigezo nanunua simu hii kwa sababu flani.  Mfano kwa simu za sasa nying zinakua na fingerprint scanner,  face ID,  AI technology  n.k kama unapenda kwenda kisasa lazma ujue je,  simu ina hizo features? 3. Ufanisi na uwezo wa simu. Utaipima simu kwa kuangalia uwezo wake wa kufanya kazi mfano kufungua mafaili,  ubora wa picha na video,  ...

TOP 5 YA MAMBO AMBAYO SIO LAZIMA UMUELEZE MTU.

Imekua ni kawaida sana watu wawili au zaidi mnapokutana basi hua kuna uhitaji wa kujua kwanini mwenzako anafanya hiki au anaoneka vile au anasema kile.  Na ni hadhiri kua binadamu hua tuna tafuta namna ya kuweza "kujitetea" wenyewe.  Lakini je kuna sababu ya wewe kujitetea kwa mtu kwa kila jambo?  Jibu ni HAPANA sio kila jambo ni lazma kulizea.  Wakati flani jitahikunyamaza hususani kwenye mambo haya:

25 THINGS THAT I SHOULD HAVE KNOWN 10 YEARS AGO.

Socrates, considered as one of the founders of Western philosophy, was once named the wisest man on earth by the Oracle of Delphi. When Socrates heard that the oracle had made such a comment, he believed that the statement was wrong. Socrates said:

SAWA, HATIMAE MUGABE AKUBALI KUJIUZULU.

Image
Kwa mujibu wa taarifa ya CNN imeripoti kua chanzo rasmi kinachofuatilia mazungumzo kati ya rais Mugabe na maafisa wa jeshi kimedokeza kua rais Mugabe amekubali kujiuzulu kufuatia hatua ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo kumuweka kizuizini kwa siku kadhaa.  Hatua hii inakuja kufuatia hatua yake ya jana jumapili ambapo kwa mara ya kwanza tangu awekwe kizuizini nyumbani kwake alilihutubia taifa kupitia shirika la utangazaji la nchi hio ZBC.