Sunday, 18 September 2016

PICHA 10 AMBAZO HUWEZI KUAMINI KAMA NI ZA KUCHORWA

Huko Accra, Ghana anaishi kijana mmoja ambae maajabu yake makubwa yapo katika matumizi ya kalamu ya risasi "Pencil". Jina lake maarufu anaitwa Theopencil kutokana na matumizi yake ya kalamu.
Alizaliwa mwaka May 5, 1993 katika jiji la Accra lakini ameshafikia ngazi ambapo dunia inaweza kujivunia kua na mtu kama yeye. Jina lake halisi anaitwa Theophilus Boateng Kwangu Sarpong na cha kustaajabisha zaidi ni kua kijana huyu hana elimu rasmi ya masuala ya sanaa. Kijana huyo kazichora picha hizi ambazo kwa haraka haraka huwezi kugundua kama zimechorwa kwa mkono.

1. Nelson Mandela. 






2.Shower time.

3. Water Drops.
4. Nkwame Nkrumah



















 5. Papa Kente.
6. My destiny shall not be aborted. 
7. The wrinkled man 


8. Ini Edo

9. 9. 9.John Rawling 

10. Kofi Anani

No comments:

Post a Comment