Posts

SHETANI ALIANZA LINI KUA SHETANI?

SHETANI ALIANZA LINI KUA SHETANI? Hakika sifuri(0) sio sawa na o. Sifuri ni tarakimu lakini o ni herufi. Sifuri na o zinataka kufanana lakini hakuna hata siku moja sifuri iwe o na o iwe sifuri. Huo uwezekano haupo. O itabaki kua O na 0 itabaki kua 0. Wakati fulani tumekua na mazoea ya kutaka kulazimisha vitu vinavyofanana viwe sawasawa. Kufanana hakuna maana ni sawa sawa.

POGBA KUKIPIGA DHIDI YA SOUTHAMPTON

Mourinho: Pogba atacheza dhidi ya Southampton.

TRUMP APATA PIGO BAADA YA KUJIUZULU KWA MWENYEKITI WA KAMPENI.

Mwenyekiti wa kampeni ya Trump ajiuzulu Mwenyekiti ya kampeni ya mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amejiuzulu miezi miwili tu baada ya kushika usukani. Alichukua nafasi hiyo kama mwenyekiti wa kampeni, baada ya meneja wa zamani Corey Lewandowski kufutwa kazi mwezi Juni.

JUSTIN BIEBER AFUTA ACCOUNT YAKE INSTAGRAM, KISA DUUH!!!

Image
Justin Bieber kafuta account yake ya Instagram yenye followers mil 77.8, kisa Justin Bieber ambaye ni star aliyeanza muziki akiwa na umri mdogo na mpaka sasa anafanya vizuri katika game ameingia kwenye headlines baada ya kufuta account yake ya Instagram ambayo ilikuwa na followers milioni 77.8 .

MAMA WA USAIN BOLT AMTAKA MWANAE ATAFUTE MKE.

Image
Usain Bolt akiwa na mama yake wakishangilia moja ya ushindi wake. MAMA YAKE USAIN BOLT AMTAKA MWANAE KUOA.

RAISI MAGUFULI AMKUBALI MRISHO MPOTO

Image
Utunzi mahiri wa mashairi na ughani uliotukuka wa Mrisho Mpoto, umeligusa sikio la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameeleza kuwa shabiki mkubwa wa kazi za msanii huyo hususan wimbo wake ‘Sizonje’.

MESI AKUBALI KURUDI TIMU YA TAIFA.

Image
Nyota na nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Mesi ameamua kubadili uamuzi wake wa kustaafu kuichezea timu yake ya Argentina kufuatia matokeo mabovu ya timu yake kwenye fainali za michuano mikubwa. Mesi alifikia uamuzi huo kufuatia mazungumzo kati yake na kocha mpya wa Argentina Edgardo Bauza.