Thursday, 13 October 2016

MWANAFUNZI ATENGENEZA BOMU LA MACHOZI,

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda amevumbua njia ya kutengeneza mabomu ya kutoa machozi ambayo hutumika na vikosi vya Polisi mara nyingi kuzima maandamano.


Kwa sasa mwanafunzi huyo Samuel Mugarura anatarajia kukutana na Rais Yoweri Museveni ili kupokea pongezi kutokana na uvumbuzi wake.

No comments:

Post a Comment