Friday, 14 October 2016
NCHI ZINAZOONGOZA KWA AMANI AFRIKA.
Kulingana na Global peace index 2016 wametoa orodha ya mataifa yanayoongoza kwa amani duniani. Nchi hizi zimepangwa kulingana na viashiria vikubwa vitatu: kiwango cha ulinzi, usalama na kiwango cha migogoro ya ndani na nje ya nchi na pia nguvu za kijeshi.
Kama ulikua ukisumbuka kutafuta taifa lenye amani na utulivu kwaajili ya kuishi au kutumia mapumziko yako na marafiki au familia basi usipitwe na hii orodha hapa. Hapa ni ngumu kukutana na sauti ya mabomu, waandamanaji au milio la risasi.
Hii orodha ni ya nchi za Afrika zinazoongoza kwa amani Afrika.
(Nafasi kwa Afrika na Nafasi kidunia)
1. Rank:
Mauritius Name:
23 World Rank:
2. Rank:
Botswana Name:
28 World Rank:
3. Rank:
Madagascar Name:
38 World Rank:
4. Rank:
Zambia Name:
40 World Rank:
5. Rank:
Sierra Leone Name:
42 World Rank:
6. Rank:
Ghana Name:
44 World Rank:
7. Rank:
Malawi Name:
45 World Rank:
8. Rank:
Namibia Name:
55 World Rank:
9 Rank:
Tanzania Name:
58 World Rank:
10. Rank:
Equatorial Guinea
Name:
62 World Rank:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment