Falsafa ya "TOTAL FOOTBAL"
MCHEZO HUU HAUHITAJI HASIRA WALA UBABE.
Unajua huwa napenda sana jins ambavyo FC Barcelona hua inacheza. Mfumo huu uliĆ asisiwa huko Uholanzi na mfumo huu uliletwa na Johan Cruyff pale FCB(yeye alikua akiutumia kwenye team yake ya Ajax na ile ya taifa). Katika mfumo huu kila mchezaji anapaswa kuchangia katika upatikanaji wa goli na unaruhusu mchezaji mwingne kuchukua nafasi yĆ mwenzake mkiwa mchezon.Na timu ili ifanye vizur inapaswa kua na kocha mzur, bench makin la ufund na wachezaji makin. Ndio maana FCB wanakua washind kwa kua wanashirikiana na kuaminiana. Kocha akishakupa kaz za kufanya uwanjan wala haikuingilii. Hii ndo "Total football" yenyewe!
sasa mimi huyu kocha wetu simuelew ata kidogo alisajili wachezaji mwenyewe ila hatak kuwatumia. wanataka kufanya maamuz uwanjan utaskia acha kupiga huo mpira hadi nijiridhishe kma ukipga litakua goli. Hik kitendo kinaboa wachezaji na knaboa mashabiki.
Ushind uwanjan sio *"one man show"*, asa km kocha ndo anataka kupga penat na faulo unategemea hio n *rafu ya aina gan? hii kitu inaboa sio siri. Huwez kusema ndan ya kikosi chako wewe humuamin mtu hata mmoja. Huo n udhaifu na haupaswi kuvumiliwa. ushind uwanjan utakuja pale tu ambapo kila mtu kwa nafas yake atatekeleza anachopaswa kutekeleza. Kocha kaz yako n kuchunguza madhaif ya timu yako na kupendekeza na au inapobid kutoa njia ya mafanikio na sio ku dictate maamuz ya wachezaji kwan kitendo hicho si tu kinakera, ubabe na hakikubalik bal pia kitendo hicho n unyanyasaji wa kisaikolojia. Tunataka tim ishnde ata kipnd kocha hayupo, asa km kila kitu unataka ufanye wewe tu, siku usipokuepo nan afanye.? *TOTAL FOOTBALL HAIHITAJI UBABE*.
heb tuufanye huu ushind wa kila mtu na sio kocha pekee. lazma turuhusu mawazo ya wachezaji wengne yajipambanue, tuone uwezo wao uko wap na sio kuwaficha kwene kivuli chako. wanaoumia ni mashabik wanaotoa pesa zao km kiingilio, wananunua jezi n.k
mashabik na nyie lazma mjue kua *Timu n bora kuliko kocha.* tutabadil kocha lakn sio timu. Binafs kuna vitu sivikubal wala nn. Yaan dressing room watu hawaongei. Hata *kapteni*wa timu duuh. Ukiongea tu wewe unaonekana hufai kwenye kikos cha kwanza..ha ha *Huu mchezo hauihtaji hasira! tufanye game yetu iwe democratic* turuhusu kocha kukosolewa coz kocha si malaika kubal kukosolewa, kubal kujifunza, kubal kushauriwa, kubali kushirik na kushirikisha na kushirikis hwa kwan kila mchezaji n muhm mno. Na kama tunajenga nyumba moja kwann tugombanie fito?
Hii falsafa ya *TOTAL FOOTBAL* Naikubali kwa kua ni inahimiza ushiriki, na uwajibikaji wa kila mtu uwanjani. Asa kocha wetu sijui hajaisoma. Mwambien aitumie.
Nyie mnamuelewa kocha??
~~~Big Oppa ©2016~~~
No comments:
Post a Comment