VITA YA WAJUMBE VS KAMATI KUU YA CCM MWAGA MBOGA, NIMWAGE UGALI. MBUNGE WAKO ULIYEMTARAJIA YUKO SALAMA?
Hatimae mchakato wa kuchuja majina kwa wagombea nafasi ya wagombea katika ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) umefikia tamati baada ya kamati kuu ya CCM hapo jana kuweza kupitisha majina ya wagombea wake katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyanyika mwezi Oktoba mwaka 2025. Katika mchujo huo kumeshuhudiwa mapinduzi baada ya majina ambayo wajumbe waliyakataa na katika ngazi ya taifa kamati kuu ya CCM yaani (NEC) imewarudisha tena kwa wananchi.
Bofya kwenye maandishi ya bluu (PDF) kusoma zaidi majina ya walioteuliwa kugombea 2025.
Majina ya waliopitishwa na NEC ya CCM kugombea ubunge 2025
Je mbunge wako uliyemtarajia "kaliwa kichwa" na kamati au wajumbe sasa ndiyo wameliwa kichwa? Tungefurahi kupata maoni yako.

Comments
Post a Comment