Thursday, 14 July 2016
ORODHA YA CLUB TAJIRI ZAIDI DUNIANIA
Hii ni orodha ya vilabu 10 vyenye thamani kubwa zaidi duniani kwa sasa. Orodha hii imetolewa na jarida la Forbes.
1. Dallas Cowboys
$4.0bn NFL
2. Real Madrid
$3.65bn Soccer
3. FC Barcelona
$3.55bn Soccer
4. New York Yankees
$3.4bn MLB
5. Manchester United
$3.32bn Soccer
6. New England Patriots
$3.2bn NFL
7. New York Knicks
$3.0bn NBA
8. Washington Redskins
$2.85bn NFL
9. New York Giants
$2.8bn NFL
10. Los Angeles Lakers
$2.7 NBA
Ikumbukwe kua kwa mwaka ulopita Real Madrid ndio club iliyokua na thamani zaidi. Kwa hio kwa sasa imeshuka nafasi moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment