Kufuatia shambulio la kigaidi la lililotekelezwa na kikundi cha ISIL na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 200 wengi wao wakiwa n watoto kimeamsha hasira miongoni mwa wakazi wa Baghdad wengi wao wakiilaumu serikali ya Iraq kushindwa kuwalinda.
Shambulio hilo la mapema jumapili limesababisha tafrani kubwa miongoni mwa wananchi wa Baghdad kwa kua licha ya serikali kutangaza kuukomboa mji wa fallujah ambao ulikua n ngome muhimu kwa ISIL lakini bado haijaweza kuhakisha kua maeneo yote ya Iraq yanapata ulinzi wa kutosha ili kukabiliana na wanamgambo wa ISIL.
No comments:
Post a Comment