#REPUBLIC_SEHEMU_YA_2
Baada ya kukubaliana maana hak na katba Socrates aliamua kueleza kuhusu katba isiyo hak. Lakin anaanza kwanza kutueleza n vp mtawala "philosopher king"
anaweza kuongoza na jamii ikawa na mshkamano na aman. Iliuwe mtawala unapaswa kua na akil, uhakika na pia utayar wa kuongoza kuish maisha ya kawaida. Lakn haya mambo hayaji tu. Lazma uyapate kupitia elimu. Sasa km ambavyo mwanga hutoka kwenye jua vivo hvo ambavyo ukwel huja kwa kutenda mema. kisha Socrates anaeleza kua kila jamii itapta kwenye mifumo minne ya kijamii yaan timocracy,oligarchy,democracy na tyranny.
Jamii huanza katka aristocracy ..ambapo kuna chembechembe za busara na upendo kisha mfumo huu huvugwa na vita za wenyewe kwa wenyewe na kisha watu walioshnda vita huongoza kwa uzalendo(timocratic gvnt). kutokana na kutafuta heshma utawala huu huanza kujilimbikizia mal na mwisho watu wachache wenye pesa hutawala nchi(Oligarchy government). Pengo la tajir na maskin huongezeka na kuchochea chuk na hasira mwisho mapinduz ya kiraia huung'oa kwa aibu utawala huu (kumbuken ile arab spring, Algeria,Egypt,Tunisia mpaka Syria).
Baada ya mapinduz ya kiraia demokrasia husimikwa. watu wanakua na uhuru wa kuamua,mgawanyo sawa wa madaraka na rasilmal lakn hapa viongoz hua na tamaa na woga. tamaa ya kutawala lakin wana woga wa kupokwa madaraka na wenye mali. hivyo katka kujiimarisha hufanya hata yale yaliyokinyume na demokrasia. mfano wananch wataporwa hak na uhuru, hawatapenda kukosolewa, kutokana na hvo badae wao au wengne wataizma demokras na kuanzisha utawala wa mtu mmoja ambao ndio huu wa kuitwa tyrannical gvnt. hawa watatumia sana vyombo vya usalama kujiimarisha(jesh,askal..n.k) watatumia hv vitu kufanya vita ilmrad abak madarakan. chukua mfano wa nch za burund, uganda, now tutakua na congo dr..nk. angalia walikotoka na walipofka na wanaenda wap? katika utawala wa mwisho watu mnakua km watumwa ndan ya nch yenu. viongoz weng wa afrika hawakupanga kufka hapa ila wamefka kwa kupuuza mambo madogo unapo mminya mtu uhuru wake..unamuonea,unamtesa kumbuka hutafanya ivo milele.
Utawala wa mwisho watu mnakua km watumwa ndan ya nch yenu. viongoz weng wa afrika hawakupanga kufka hapa ila wamefka kwa kupuuza mambo madogo unapo mminya mtu uhuru wake..unamuonea,unamtesa kumbuka hutafanya ivo milele. hapa Socrates anajarb kuonesha kua hakuna utawala utakaodum milele. Hivo watawala wanapaswa kuongoza kwa haki. Ukandamizaj wa demokrasia kwa namna yoyote ile n tiket ya kuufikia utawala wa kiimla ambao ndo utawala hatar zaid. kwa kua hii n kwa afrka nzma watawala wetu wanatosha kua watawala wanaofuata demokrasia? kama ndio kwa kias gan na km cio n kwa kiac gan na nn kifanyike.-? Afrika bado tunahitaj ukomboz wa pili ambao n uk ukomboz wa fikra. naamin ukiongoza kwa hak hutaogopa, kaz kubwa ya polis itakua cio kukimbizana na raia wema, itakua kukimbiza wahalifu tu. Tumbukeni kua hakuna kidumucho daima, na hakuna namna kua ulozoea kumpiga utoton utampiga mpka uzeeni.
Tunahitaji mapinduzi mapya ya fikra ili vizaz vijavyo vijivunie sisi kuzaliwa kabla yao na sio wajutie kwann wao wamezaliwa nyuma yetu.
~~~~Big Oppa©2016~~~~
No comments:
Post a Comment