Thursday, 7 July 2016
DONALD TRUMP AMSIFU SADDAM HUSSEIN
Wakati watu wengi wa marekani wakiamini kua Saddam Hussein alikua ni dikteta wa Iraq na mtu aliye fadhili ugaidi hali ni tofaututi kwa Trump.
Kwa mara nyingne mgombea wa kiti cha urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump amemsifu kiongozi wa zamani wa Iraq kwa kusema kua alipambana kikamilifu kuwaaua magaidi. Licha ya Marekani kuiorodhesha Iraq chini ya Saddam Hussein kama taifa linalofadhili ugaidi bado Trump anamsifu Saddam Hussein kwa kazi kubwa aliyoifanya. Hata hivyo Trump alikiri kua Saddam Hussein alikua ni "mtu mbaya". Ndio mtu mbaya lakini alifanya vizuri, alisema Trump. Trump alikua akiukubali mpango wa kuivamia Iraq hapo mwanzo mwa kampeni kwenye miaka ya 2003 lakini kwa sasa amekosoa uvamizi huo kua umepelelea kulivuruga kabisa taifa hilo la mashariki ya kati.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment