Maisha ni kuchagua na kuchagua ni kupanga wenzetu walichagua. Wafalme, malkia, maraisi na masultani wanachagua wanachokitaka. Hapa nina orodha ya
nchi ambazo viongozi wake wanaotumia magari ya bei mbaya! Haya magari hapa yanasifa za kipekee saana kwa hio na wewe ukitaka kumiliki hakikisha unandaa pesa hizo.
20. KENYA- Mercedes Benz Pullman S600
Thamani yake $50,000(115mil)
19. ITALY-Lancia Thesis
Thamani yake $65,709(149.5mil)
18. JAPAN- Toyata Century Royal
Thamani yake $85,500(196.65mil)
17. SINGAPORE- Mercedes Benz S350L
Thamani yake $85,995(197.78mil)
16. UZBEKISTAN-Range Rover Supercharged
Thamani yake $103,195(237.4mil)
15. MOROCCO-Mercedes 600 Pullman
Thamani yake ni $120,384(276.88mil)
14. KOREA YA KUSINI-Hyundai Equus VL500(550) Limousine
Thamani yake $122,180(281mil)
13. NORWAY- Binz Limousine
Thamani yake ni $128,351(295.2Mil)
12. BRUNEI- Rolls Royce phantom VI
Thamani yake ni $148,645(341.8Mil)
11. GERMANY-Mercedes Benz S600L
Thamani yake ni $174,890(402.2Mil)
10. INDIA-Mercedes Benz S600(W221) Pullman Guard.
Thamani yake ni $180,000(414Mil)
Unajua ni kiongozi wa taifa gani anatengeneza Top 10??
(Itaendelea.....)
No comments:
Post a Comment