Wakati tunaendelea kulalamikia ugumu wa maisha lakini upande mwngine hali ni tofauti. Ukweli n kwamba uchumi umekua mgumu kwa kila mtu, ila hii hapa ni orodha ya mabilionea wa Afrika mwaka 2016.
Mabilionea hawa wana utajiri wa pamoja unaofikia $80.94bilion ikiwa
ni anguko la $13.04bn kutoka $94bn mwaka 2015.
1. ALIKO DANGOTE.
Nchi>> NIGERIA
Vyanzo vya utajiri; Cement, sukari, unga na chumvi.
Forbes inamkadilia kua na utajiri wa $16.71bn (jumla ya utajiri wa mabilionea wote wa Egypt, na bado hawakaufikia. Wao kwa pamoja wana $15.71bn.
2. MICHAEL ADENUGA
Nchi> NIGERIA
Mpato; Mawasiliano,(kampuni ya simu), mafuta, na viwanja.
Utajiri wake ni $10.3bn
3. NICHOLAS OPPENHEIMER
Nchi> SOUTH AFRICA.
Mapato; Almasi
Utajiri wake ni $6.6bn.
4. CHRISTOFFEL WIESE
Nchi>> South Africa
Mapato; Uuzaji wa bidhaa za jumla hasa vyakula. Anaiza yakula kwenye shoprites kwenye nchi zaidi ya 15 za afrika.
Utajiri wake ni $6.2bn
5. JOHANN RUPERT
Nchi>> South Africa.
Mapato; Bidhaa za luxury kama vyakula, vinywaji, hudum za fedha na viwanda, ila luxuries ndo chanzo chake kikubwa.
6. NASSEF SAWIRIS
Nchi>>Egypt
Mapato; Ujenzi na kemikali
Utajiri wake ni $4.4bn
NATHAN KIRSH
Nchi>>Egypt
Mapato; Uuzaji wa bidhaa za jumla na viwanja.
Utajiri wake ni $4bn
7. ISABELLA DOS SANTOS
Nchi>> Angola.
Ndie mwanamke tajiri zaidi Afrika na ni mtoto wa raisi wa muda mrefu wa angola, Eduardo dos Santos.
Mapato; Uwekezaji(Anamiliki Unitel, clubs, migahawa, mabenk, mafuta na gesi n.k)
Utajiri wake ni $3.2bn
9.ISSAD REBRAB
Nchi>>Algeria.
Mapato; Vyakula.
Utajiri wake ni $3.1bn
10. NAGUIB SAWIRIS
Nchi>> Egypt
Mapato; Kawekeza kwenye mawasiliano, anamiliki liberal Egypt TV station ONTV.
Kwasasa anataka kununua kisiwa na kukifanya kama hifadhi ya wakimbizi baada ya kuona picha ya mtoto wa miaka mitatu kutoka Syria alozamia ili akapate hifadhi.
Katika orodha hii kuna mtanzania mmoja tu kutoka Tanzania nae ni MOHAMMED DWEJI yuko nafasi ya 40 kama ukitaka orodha nzima tembelea hapa>>https://www.africanexponent.com/post/africas-billionaires-list-2016-1738
No comments:
Post a Comment