Monday, 4 July 2016

NI JEURI YA PESA AU KIBURI??

Klabu ya Manchester united ya uingereza imesisitiza kua inataka kumsajili tena kiungo wa ufaransa na
Juventus Paul Pogba. Ikumbukwe kua Pogba aliondoka united kwa uhamisho huru. Kwa tetesi nyingine tembelea hapa> http://www.bbc.com/swahili/michezo/2016/07/160703_tetesi_za_soka_salim?ocid=socialflow_facebook

No comments:

Post a Comment