KWA MARA YA KWANZA KABISA SAYARI YA JUPITER (ZOHALI) KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA.
NASA imetoa taarifa kua chombo chao cha JUNO kilichotumwa mwaka 2011 kewasili mapema leo asubuh na kuanza kazi yake ya kuizunguka sayari hio. NASA wanatarajia kukitumia chombo hicho hadi mwezi February 2018. Kwa maelezo zaidi soma hapa..>>>http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/07/160704_juno_spacecraft
Comments
Post a Comment